Kampuni Ya ‘Sony Pictures’ Imeripotiwa Kuwa Ipo Mbioni Kuuza Haki Miliki Za Filamu Ya “Spider-Man’ Kurudisha Kwa ‘Marvel Studios’, Na Kwenda Kumaliza Ushirikiano Wao Wa Kikazi Ambao Ulianza 2016 Kupitia Filamu Ya “Captain America: Civil War”.
Ushirikiano Huu Umeweza Kuzalisha Filamu Kama “Spider-Man: Homecoming.” N.k. Licha Ya Hivyo Sony Wanampango Wa Kuendeleza Filamu Zenye Mfanano Wa Spider-Man (Venom Na Morbius). Hivyo Endapo Dili Hilo Litafanikiwa, Basi Marvel Watapata Mauzo Makubwa Zaidi Kupitia SpiderMan Na Kufanya Kazi Zao Wenyewe Bila Sony Kushiriki.
Tags:
movies