Baadhi ya Muvi zinazochwezwa na wenzetu zinajaribu kuonyesha baadhi ya matukio yanayoweza kutokea na kusambaratisha Dunia,ila wengi tunatazama movie for fun and for enjoyment,ila baadhi ya movie zipo kwaajili ya kuonya na kufundisha
Ndani ya hii movie baada ya watafiti kugundua ujio wa asteroids zitakazoanguka na kusambaratisha Dunia walilazimika kutafuta sehemu ambayo haitodhurika na janga hilo
Na ni watu wachache tu ndio walipewa hiyo sili kwamba Dunia si Sehem salama tena,hivyo watu wachache waliotumiwa ujumbe huo waliombwa kufika katika Kambi ya jeshi waliyoelekezwa kwaajili ya kusafirishwa kupelekwa eneo ambalo halitodhurika
.
Watu waliochaguliwa ni wale wenye fani na vipaji tu mfano madoctor na maengineers kwaajili ya kuja kuanzisha dunia mpya,na ukichaguliwa unaondoka kimya kimya wewe na familia yako tu na tickets,hupaswi kumwambia mtu mwingine taarifa hizo
Hapa ndio unatimia ule msemo wa mwenye nacho huongezewa,Hizi ni kwa Wapenzi wa movie za majanga majanga tunayo hii na nyingine nyingi za dizain tofauti tofauti,Bei sh 1000 zipo za kutafsiriwa na ambazo hazijatafsiriwa
Tags:
movies